Sunday, May 5, 2013

BREAKING NEWS - MLIPUKO WA BOMU KATIKA KANISA KATOLIKU ARUSHABREAKING NEWS
MLIPUKO WA BOMU KATIKA KANISA KATOLIKU ARUSHA
Kanisa katoliki parokia  ya Olasiti limelipuliwa na kifaa kinachosakikiwa kuwa ni bomu muda mchache kabla ya misa kuanza. Kanisa hilo ambalo leo hii lilikuwa apandishwa hadhi kwa kuwekwa wakfu kuwa Parokia limekumbwa na masa huo leo tar 5 May 2013 majira ya saa5, asubuhi. Inasemekana kuwa wengi wamejeruhiwa  na  mtu  mmoja  amefariki dunia. Inasemekana kishindo kikubwa kilisikika ndani ya kanisa hilo lililokuwa na waumini wa dhehebu hilo kabLa Askofu hajaaza kuongoza misa.
Mgeni rasmi   katika  isa na hafla  hiyo  alikuwa  ni   balozi wa Vatican nchini Tanzania.
 
Taarifa zaidi zitakujia!

No comments:

Post a Comment